Rais wa zamani wa Afrika kusini akubali kijasalimisha jela
8 Julai, 2021
Shirikisha
share
Print
Rais wa zamani wa Afrika kusini Jacob Zuma atajisalimisha kwa mamlaka husika ili aanze kutumikia kifungo cha miezi 15 jela kwa kuidharau mahakama. Taasisi yake imesema ilimedhibitisha hilo Jumatano baada ya siku kadhaa ambapo wafuasi wake walizunguka nyumba yake wakizuia akamatwe. Mahakama ya katiba ilimuhukumu Zuma kifungo cha miezi 15 jela wiki iliyopita, kwa kukaidi amri ya mahakama hiyo mapema mwaka huu, ya kutoa ushahidi katika uchunguzi juu ya madai ya ufisadi wakati wa utawala wake wa miaka 9 uliomalizika mwaka wa 2018. Taasisi ya Zuma imeandika kwenye ukurusa wake waTwitter “ rais Zuma ameamua kutii amri ya kifungo, yuko njiani kujisalimisha kwa mamlaka ya magereza ya KwaZulu Natal. Msemaji wa polisi Lirandzu Themba amethibitisha katika taarifa kwamba Zuma yuko katika jela la polisi, kwa kufuatisha uamzi wa mahakama ya katiba.
LankaWeb – අපේ රටේ උරුමය විනාශ කරන්න කිසිවෙකුටත් ඉඩ තබන්නෙ නැහැ – ගරු අග්රාමාත්ය මහින්ද රාජපක්ෂ මහතා lankaweb.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from lankaweb.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
How to be a ‘true Northerner’
By
The Nigerian writer, Chimamanda Ngozi Adichie, said in her famous TEDx speech, The Danger of the Single Story, that the problem with stereotypes is “not that they are untrue, but they are incomplete; they make one story become the only story.”
I remembered the author’s statement after a lady friend of mine from Kano, complained about how unsettled she felt when people told her she doesn’t behave like a Hausa lady, a statement the people who gave it probably expected a thank-you response from her, or a gesture that represents it. But she understood that it is a statement that holds within itself, the wealth of stereotypes about how Hausa women are expected to be, to behave.
3 ca tử vong do COVID-19 là bệnh nhân cao tuổi ở TPHCM, Đà Nẵng và Bắc Giang Thái Bình | 08/07/2021, 10:10
Sáng 8/7, Tiểu ban Điều trị Ban chỉ đạo Quốc gia phòng, chống dịch COVID-19 thông báo 3 ca tử vong 103-105 ở TP HCM, Đà Nẵng và Bắc Giang
CA TỬ VONG 103: BN12566, nam, 74 tuổi, địa chỉ: Quận 4, TP.HCM.
Tiền sử: Xơ gan do viêm gan C, ung thư gan đã điều trị, tăng huyết áp, đái tháo đường type 2.